Kwa mara ya kwanza, rais wa Marekani aliye madarakani anazuru msitu wa Amazon: Joe Biden anatarajiwa Jumapili hii, Novemba 17, Manaus, Brazil. Joe Biden ataruka juu ya msitu mkubwa zaidi wa kitropiki ...