Bunge la Tanzania limempitisha Mwigulu Lameck Nchemba mbunge wa jimbo la Iramba mkoani Singida, kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo mara baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuwasilisha bungeni jina lake ili ...