Uchaguzi huu unafanyika katika mazingira ambayo sio tofauti sana na chaguzi zilizopita hali ya wasiwasi ikiwa imetanda na ulinzi mkali ukiimarishwa. Na Asha Juma & Ambia Hirsi Chanzo cha picha, AFP ...
Wananchi wa Tanzania Jumatano wanapiga kura katika uchaguzi mkuu ambapo watawachagua rais, wabunge na madiwani. Vituo vya kupigia kura vilifunguliwa kuanzia saa moja asubuhi kwa saa za Afrika ...
Shughuli ya kupiga kura imeanza leo katika uchaguzi wa rais nchini Uganda licha ya kukatizwa kwa mtandao. Umati mkubwa wa ...