Serikali ya Tanzania imeonya kwamba maandamano yaliyopangwa kufanyika Jumanne ni kinyume cha sheria na yatachukuliwa kama ...
Wanasiasa wa siasa kali za mrengo wa kulia walichukua hatua ya kutoa idhinisho la awali kwa mswada unaoipa Israel mamlaka ya kunyakua Ukingo wa Magharibi. Na Lizzy Masinga & Asha Juma Mama wa taifa wa ...
Rais Donald Trump ameonya makubaliano ya usitishaji mapigano yasihujumiwe lakini ameongeza kuwa Israel ina haki ya kuchukua hatua iwapo wanajeshi wake watalengwa. Rashid Abdallah & Mariam Mjahid ...
Serikali ya Tanzania imewaonya raia wake kutothobutu kuingia mitaani, ikisema maandamano yoyote ya Desemba 9 ni kinyume na sheria na yatachukuliwa kama jaribio la mapinduzi.
Wanajeshi 20 waliokuwa kwenye ndege ya kijeshi ya Uturuki wamefariki dunia baada ya ndege hiyo kuanguka katika eneo la mpaka wa georgia na Azerbaijan hapo Jumanne. Wizara ya ulinzi ya Uturuki mapema ...
Kulingana na malalamishi yaliowasilishwa na waendesha mashtaka nchini Ufaransa, TotalEnergies inatuhumiwa kuhusika na uhalifu wa kivita, Tuhuma ambazo kampuni hiyo imekanusha. Kampuni hiyo imekuwa ...