Wimbo wa All I want for Christmas is You" ya mwimbaji Mariah Carey ulitoka mwaka wa 1994 na kufanya mafanikio makubwa, lakini baada ya miaka 30, imekuwa wimbo unaotawala msimu wa likizo. Nini siri ya ...
Wacha tuwe wakweli, ikiwa Fifa ingeweka tamasha la muziki, labda ingekuwa na safu bora zaidi ya wanamuziki wakati wote. Kwa kipindi cha miaka 20 iliyopita au hivyo, wimbo wa mchezo umechanganya ...
Coolio aliposikia sauti ya wimbo uliokuja kuwa Gangsta Paradise, alikuwa na maoni sawa na sisi wengine. "Nilihisi, 'wow, napenda sana wimbo huu.' Rapa huyo - mzaliwa wa Pennsylvania na kukulia huko ...
Msanii wa Kenya King Kaka anataka ulinzi baada ya watu wasiojulikana kutoupokea vema wimbo wake mpya unaokemea maovu ikiwemo rushwa. King Kaka amabye jina lake halisi ni Kennedy Ombina, mwishoni mwa ...
Mbali na Bendera, wimbo wa Jumuiya hiyo umetakiwa kuimbwa katika shughuli zote za kitaifa, pindi tu baada ya ule wa taifa husika. Jumuiya ya Afrika Mashariki ina mataifa matano; Kenya, Uganda, ...
Psy's Gangnam Style sio video inayotazamwa zaidi katika mtandao wa Yutube. Wimbo huo maarufu kutoka Korea Kusini ulikuwa wimbo uliochezwa sana katika mtandao huo katika kipindi cha miaka mitano ...
Msanii Snura Mushi ambaye wimbo wake wa Chura ulipigwa marufuku na serikali ya Tanzania ameomba radhi na kuahidi kutekeleza maagizo ya serikali. Hata hivyo, bado ametetea video zilizotolewa za wimbo ...