Nyota wa muziki miondoko ya Afrobeats Davido anasema atatoa naira milioni 250 ($608,000; £450,000) kwa mayatima nchini Nigeria baada ya mashabiki wake kumtumia pesa. Mapema wiki hii, mwanamuziki huyo ...
Mauwaji ya halaiki yaliyotokea Rwanda mwaka 1994, yalisababisha maelfu ya watoto kuwa mayatima baada ya wazazi wao kuwawa. Mayatima hao inawabidi sasa wapiganie vikali mali walizoachiwa na wazazi wao ...
Mbali na Bendera, wimbo wa Jumuiya hiyo umetakiwa kuimbwa katika shughuli zote za kitaifa, pindi tu baada ya ule wa taifa husika. Jumuiya ya Afrika Mashariki ina mataifa matano; Kenya, Uganda, ...